Sangili Nabeta Nixon Kenyani
Udumishaji wa Lugha ya Kimaragoli Katika Eneobunge la Uriri,Kenya
Tasnifu iliyowasilishwa katika idara ya lugha,Isimu na fasihi kitivo cha sanaa na sayansi za jamii chuo kikuu cha Rongo kwa minajili ya kutimiza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamifu katika Kiswahili.
PKIS/9305/2014.